jamani wana MMU nilikuwa naomba maoni yenu na ushaur wenu juu ya hili swala. mimi bwana nashindwa kujielewa kutokana na pindi ninapofanya mapenz huwa nachukuwa mda mrefu sana mpaka kufka kilelen hata kma ni raund ya kwanza kwamfano naweza chukuwa hata dakka 45 ktka raund ya 1 na kwa raund ya pili ndo usiseme coz mpenz wangu huwa yeye anapiz hata mara 3 alfu me ndo kwanza nipo kamoja, NB: nilikuwa naomba kuulza hii inawezakuwa ni tatizo au ni ki2 cha kawaida2 kwa mwanaume?