Hahahhaha, JF rahaa sana aisee..Karibun Bein sport HD. Channel 20 HD zote sports tu, malipo ni 45,000 tu kwa mwezi
Kile cha pass wamekifikisha sh ngapi maana tulizoea tsh 22,000/= ila itabidi tusepe maana hawasikii
Nitaendelea nao buku halinishindi japo kubwa.....Kwa soka nimehamia AzamHiki ni 23000 mkuu wameongeza buku, hiki ndo nimekuwa member wa kukilipia kila mwezi, cha premium nimeachana nacho life inakaba unless kama nipo mapumziko ndo nalipia
Nunua Qsat 28G weka na dish ya nile sat peleka muelekeo wa south Africa mpango mzima!
Kuwa matawi si mchezo , ndio maana makaka poa wanaongezeka huko bongo kutaka ku maintain trend.
ngoja tukaangwe mpaka tutakagozinduka kutoka usingizini. haya ndio madhara ya kuishobokea CCM ambao mkada wao ndiyo wamiliki wakubwa wa haya makampuni ya kinyonyaji.
Siku Azam akipata haki ya kuonyesha EPL, DSTv waanze kuaga Tanzania.
... Ila naskia south Africa bei vifurushi IPO chini