VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 677
Vipi hivi nokia lumia ubora wake upo kwenye nini???
Je betri yake inadumu??
Je net yake ipo vipi, je ipo slow ama faster??
Vipi hivi nokia lumia ubora wake upo kwenye nini???
Je betri yake inadumu??
Je net yake ipo vipi, je ipo slow ama faster??
Vipi hivi nokia lumia ubora wake upo kwenye nini???
Je betri yake inadumu??
Je net yake ipo vipi, je ipo slow ama faster??
ni simu za kibiashara zaidi zisizo na longolongo
hazina vitu vingi ila hivyo vitu vilivyokuepo vinafanyika kwa ukamilifu
kuhusu internet simu zote mpya za siku hizi zina internet ya faster
kuhusu charge inategemea zipo zinazokaa sana na charge na zipo ambazo ni vimeo kwa lumia hizi hapa zinakaa sana na charge
1.lumia 1520
2.lumia 1320
3.lumia 720
4. lumia 625
Hiyo LUMIA 1520 ni mtambo wa kuotea mbali......
yeah na kuna masterpiece yenye 3d touch nokia goldfinger aka mclaren inakuja soon, flagship mpya
yeah na kuna masterpiece yenye 3d touch nokia goldfinger aka mclaren inakuja soon, flagship mpya
yeah na kuna masterpiece yenye 3d touch nokia goldfinger aka mclaren inakuja soon, flagship mpya
kwani lumia 930 sio flagship??
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
naomba uielezee mkuu chief
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
ni simu za kibiashara zaidi zisizo na longolongo
1.lumia 1520
2.lumia 1320
3.lumia 720
4. lumia 625
Lumia ki ujumla ni simu nzuri na rahisi sana kutumia. Ila ina limitation kadhaa ukifananisha na Android ingawa Microsoft (Lumia zote zinatumia windows mobile OS) wanachukua hatua madhubuti kupunguza au kuondoa kabisa limitation ambazo zipo hivi sasa.
Mimi natumia LUMIA 720 ni almost mwaka sasa nimeridhika nayo na hasa kwa sasa wame upgarde kuja wp 8.1. Kuhusu Bettry itategemea matumizi yako na vilevile jinsi ya kuweka setting za app pamoja na mambo mengine.
Ushauri wangu kama utakuwa na uwezo nunua Lumia 920 au 925 kama budget hairuhusu basi LUMIA 720 ni chaguo zuri kwani Camera yake inatoa picha vizuri sana hata kwenye giza kabisa....
Kuhusu bei ina range between 420,000 mpaka 500,000 kutegemea wapi unanunua ila bei za Lumia 920 na 925 sina uhakika nazo. Wenye kujua watakupa majibu
Naomba unichanganulie bei ya hizo simu mkuu. Kwa hapa bongo zinapatikana kwa bei gani?
mpaka sasa hakuna information za kutosha ni huyo evleaks tu anatupa tupa kila wakati hii simu inategemewa kuwa hivi
1. kioo cha 2k ukubwa wa 5.2 inch
2. internal 32gb na ram 3gb
3. processor ya snapdragon 805 na adreno 4xx
4. battery ya 3400mah
5. kuna rumors ile technolojia ya kuchaji simu kwa jua kupitia kioo cha simu imefaa
6. kuna rumors itakuwa na 3d touch
hivyo vya juu unavijua labda nielezee hii ya solar na 3d touch
solar charging
ni muda mrefu sasa nokia anafanya research kuhusu simu ambayo utakua huichaji wewe bali inajichaji, namaanisha simu ambayo hata port ya kuchajia itakua haina na kufanikisha hilo moja ya karata yao wameitupa kwenye simu zinazojichaji na jua. na wao wakaona kuwa kwa kueka layer kwenye kioo cha simu wanaweza kufanikiwa hivyo layer ya solar charging ikawekwa lakini walishindwa kufanikisha kwenye research zao, mwaka jana mwishoni kukawa na rumors hii simu ya solar inakuja ila hatukuion na sasa hivi rumors zinarudi tena kuwa inakuja.
3d touch
hii nayo kama technology ya pureview nasikia miaka nenda miaka rudi ipo kwenye maabara za nokia lakini finally nayo itatoka. kuna baadhi ya patents nokia wamepewa kuhusu hii tech hivyo kidogo tukapata idea itakuwaje. in short utakuwa unaoperate simu bila kuigusa kama vile s4 lakini hii ya nokia itakuwa tofauti.
chukulia mfano huu una simu yako ya lumia ina tiles, ukipeleka kidole juu ya tiles kabla hujaigusa tiles itatikisika au itajizoom kidogo au itatoa ishara yoyote kuonyesha kuwa hii ndio tile unayo deal nayo. then kama tena unaiclick ile tile itachawanyika na kutoa menu kama ni tile ya video zitasambaa kwenye kioo then utachagua tena.
na ili kuifanya isiwe gimmick kama ya s4 kuna rumors pia kuwa kuna sdk yake kwenye wp8.1 itakayowafanya madeveloper waweze kuitumia ina maana utaweza fanya kwenye fb, twitter na apps nyengine.
mwisho zote hizo ni rumors zinaweza zitokee ama zisitokee muda utatuambia