Jamani mwenye uelewa asaidie msada hapa

tqr,hiyo 46% umeipata kutoka utafiti gani?maana hizi DNA za paternity test ni lazima uwe na damu za wahusika wote yaani mama,mtoto na baba na kuna zaidi ya point 15 ambazo lazima zifanane yaani 99.9%,mimi nina sample yake nitakapo kuwa nayo nitaiandika hapa.please fafanua zaidi kuhusiana na utafiti huo uliotambua 46% ya watoto hawakuwa halali.
 
Nimeongea hii kulingana na vigezo vya ustawi wa jamii maana hawakubaliani kigezo hicho kwani wanasema muda mwingine sayansi haiko sahihi na inaleta mizozo mungu ndo maana nikaomba msaada kwa mtu alie na uelewa kuhusu hii issue kama ni sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utafiti wao hawa jamaa uliowasoma hapo juu,ni waongo DNA ya paternity test ipo,na imethibitishwa kisayansi ila ni lazima uwe na sample zote za damu ya motto,mama,na baba,hii ni dunia ya technology ,na hii ipo ila ni gharama kuifanya,kama kuna matatizo ya kifamilia pitia mahakama ,ambayo ina uwezo wa kuamuru sample zichukuliwe ili DNA ifanyike na gharama zinalipwa na mlalamikaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom