Permalink Submitted by Sufiani, Ali H. (not verified) on Fri, 2013-04-05 04:57.
Jamani, mwambieni ukweli Rais wetu - haya mambo kaja nayo yeye. Aliingia madarakani akiwa na ajenda ambayo asingeweza kuificha.
Rais ana udini na anautenda kwa nguvu zote na huu ni uthibitisho:
1. Aliwaomba viongozi wa dini zote wampigie kampeni mwaka 2005.
2. Mwaka 2010 alimtuma Makamba au alimwachia aeneze kampeni za kidini.
3. Uteuzi wake unapendelea dini yake wazi wazi kwa kuwa Tanzania haina Waislamu wengi kiasi hicho kama anavyotaka ionekane, mfano kwenye uteuzi wa majaji inaonekana wazi kuwa suala ni kuwajaza waislamu wakati mwingine kwa kutumia kigezo cha "kuteua wanawake."
4. Ameliachia gazeti la Al Nuru hata pale linapochochea chuki ya udini. Hivyo hivyo kwa redio imani ya Morogoro.
5. Ameruhusu na kuachia mihadhara ya kuhubiri chuki na hataki waislamu wakamatwe.
6. Hachukui hatua zozote kwa wanaochoma makanisa ambapo yamefikia 54 hivi sasa katika kipindi chake na si kweli kwamba akina Sheikh Ponda wanateswa kwa sababu hiyo, la hasha! Ponda na wenzake wana ugomvi na waislamu wa Batwata ambao ni washikaji wa Kikwete.
7. Alipokwenda Uarabuni kabla ya uchaguzi wa mwaka 2010 aliahidi kwamba wakimpa fedha atakuja Tanzania kuujenga uislamu na kuhakikisha kwamba rais ajaye anakuwa mwislamu. Hawezi kubisha haya kwa sababu watu wake wanasema mitaani.
8. Akizidiwa na siasa anadai kwamba anashambuliwa kwa kuwa yeye ni mwislamu bila kujua kuwa anachochea udini.
9. Ameruhusu waislamu waeneze uongo mwingi dhidi ya serikali na wakristo huku akujua vema.
10. Ameamua kukipaka matoke chama cha upinzani kinachomsumbua kwa kukiita kuwa ni chama cha wakristo - Je, anategemeaje?
Mwambieni ukweli rais huyu. Ataimaliza Tanzania bure wakati yeye hatapata shida mapigano yakianza. Nchi yetu sasa haina heshima duniani na Wakenya wanatucheka. Mimi ni mwislamu lakini inabidi niseme ukweli.
Source: Maoni ya wasomaji website ya RAIA MWEMA - Chini ya makala RAISI kapatia lakini pia kakosea.