mossad007
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,165
- 853
Ofcz Rais anasemaga wapinzan wadini hasa akiilenga CHADEMA na sio mara moja kasharudia hii kauli several times kitu ambacho ni kubrain wash watu wasahau mapungufu ya uongozi wake na waamini kuna siasa za kidini while yeye ndo anachochea udini he is truly ethnic..!!!