Yaani ni shida tupu toka juzi jumamosi yaani nina kihela changu kipo kwenye M-PESA toka jumamosi siwezi kukitoa yaani utadhani nipo kwenye foleni ATM ya NMB.
Yaani ni shida tupu toka juzi jumamosi yaani nina kihela changu kipo kwenye M-PESA toka jumamosi siwezi kukitoa yaani utadhani nipo kwenye foleni ATM ya NMB. Voda tusaidieni jamani tunateseka sana!!!!
Every Network in Tanzania ni upuuzi mtupu kama hao Voda mie binafsi nlikua nawaaminia sana kumbe hawana tofauti na wale wengine yani ni ujinga mtupu halafu mbaya zaidi bado wanaadvertise mtu aingie M-pawa sijui nini ni upuuzi mtupu...poleni mlio na vijihela huko kwani nami nimeipata joto ya jiwe kuna jamaa alikua ananitumia kisenti cha kunipa kiburi mtaani si kimerudi kwake kisa mizinguo ya Vodaa upuuzi mtupu!!!
Voda kuna tatizo kidogo katika huduma ya m-pesa ila mafundi wetu wanaendelea kuhakikisha tatizo linaisha mapema iwezekanavyo. samahani kwa usumbufu...Kwa maelezo zaidi piga 100 huduma kwa wateja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.