Hapana umeelewa vibaya,lakini wewe elewa tu kuwa mpenzi wangu ana matusi na ninachoomba kwako ni ushauri na kama hauna ushauri basi jifanye hujaiona hii thread😛
hebu kumbuka huko mwanzoni(miaka mitatu ya mwanzo) alikuwa hivyo alivyo sasa!?. KAONA UNAMFUJA NA KUMPIGA NAO TU...thats why kakubadilikia.. miaka kibao unamchimba mkojo tu unataka utoe mercury ndio umuoe