Jamani msichana ana matusi

Jamani msichana ana matusi

Ngurubhe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
1,840
Reaction score
1,049
Habari jamani!

Ndugu zangu niombe tu niseme hapa labda huenda stress zangu zikaisha au mkaongea chochote kati ya mtakavyoongea kikanisaidia.

Bila kuwa na maelezo mengi ni kuwa nina demu wangu huu ni mwaka wa saba sasa, lakini hata sjui tatzo nini,pamoja na kumpenda sana,kumskiliza na kumcare kadilibys uwezo wangu,ni mara chache sana amekuwa pia akinifanyia hayo.
Tunaishi mbali kidogo yeye yupo mkoa mwingne na mim japo huwa tunatembeleana inapobidi.

Pamoja na kuwa ndie mrembo ninaempenda sana lakini amekuwa akinipa wasiwasi kwa matusi hasa pale anapokuwa kuna kitu kakosea ukitaka tu kumsema au kumshauri
Hbari jamn,dungu zangu niombe tu niseme hapa labda huenda stress zangu zikaisha au mkaongea chochote kati ya mtakavyoongea kikanisaidia.

Bila kuwa na maelezo mengi ni kuwa nina demu wangu huu ni mwaka wa saba sasa,lakini hata sjui tatzo nini,pamoja na kumpenda sana,kumskiliza na kumcare kadilibys uwezo wangu,ni mara chache sana amekuwa pia akinifanyia hayo.
Tunaishi mbali kidogo yeye yupo mkoa mwingne na mim japo huwa tunatembeleana inapobidi.

Pamoja na kuwa ndie mrembo ninaempenda sana lakini amekuwa akinipa wasiwasi kwa matusi hasa pale anapokuwa kuna kitu kakosea ukitaka tu kumsema au kumshauri, daaa matusi hayo kama mvua ya mawe! Lakini pia angependa umskilize zaidi wakati kitu hikohiko yeye anaweza asikuskilize na hata anadiriki kusema "sifanyi"!

Nimekuwa navumilia sana lakini kadri sku zinavyokuja naona moyo wangu unavunjika katika vipande vipande ukizingatia yupo chuo na anamaliza miezi michache tu inayokuja.

Pamoja na kero zingine zote lakini hili la kutukana, kutaka kunipanda kichwani na kutaka kuwa cared wakati yeye doesn't care, Je anafaa kuwa mke huyu kweli au sio fungu langu?
 
Kama umekuwa nae kwa miaka7 na bado unamuita demu wako basi unastahili kutukanwa sana hata zaidi ya hapo, nipe number yake nimuongeze reserve ya mitusi mingine. Huna adabu Ngurubhe

Na yeye anatabia ka zako ktukana ka wewe hvhv na huwa namjbu hvhv nilivyikujb wewe cjui ukute ndio wewe maana ukte hata unaacount hapa jukwaani bila mie kujua!!!
 
Last edited by a moderator:
1.kwani huna demu mwingine? km unae kuna lenye litafata
2.epuka shida za ndoa kungali mapema mi ningeshamwacha ata bila kumstua
3.kuna wanawake wema sana ukibahatisha yaani utashuudia stress za watu wengine tu
4.are you among the realy prudent
 
Na yeye anatabia ka zako ktukana ka wewe hvhv na huwa namjbu hvhv nilivyikujb wewe cjui ukute ndio wewe maana ukte hata unaacount hapa jukwaani bila mie kujua!!!

Oa wewe acha mbwembwe hapa, wenzako wenye akili wanajimegea huko aliko na ww unaishia kuambulia mitusi tu kwa sababu huna akili. Bichwa lako Ngurubhe
 
Last edited by a moderator:
Ngurubhe

Jaribu kuangalia na familia yao wakoje - baba, mama na ndugu zake wa karibu. kwa kifupi hakufai huyo, mfupa mwachie fisi!!
 
Last edited by a moderator:
Huenda anataka kusikia sasa basi ili ajipange, miaka saba akiwa demu lini atakuwa mchumba au mke, ukimpa majibu hayo huenda ukaheshimika.
 
Ngurubhe

Huyo akufai hata kidgo, huwezi kabsa kummiliki. Hapo kuna mty mwingine akiongea kwake anakuwa kimya na kumsilikiza (huo ndio ukweli) cha msingi wew anza kupanga life kivingine without her (u may not agree with it), ila kama unaweza kuvumilia msubiri amalize chuo akose kazi, may be ataweza kuwa mpole bt akipata kazi mkuu, utakuja kuleta UZI HUMU AMENIACHA BAADA YA KUAJIRIWA. NYOTA NJEMA HUONEKANA ASUBUHI..............
 
Last edited by a moderator:
Umezungumza nae?

Anajua unavyokereka??

Halafu mmekuwa pamoja miaka 7 leo ndio unajua ana matusi??? Au ndio unataka kumwaga???

Nimetumia kila namna,dada zake hata wao wamechoka,mama yake ananiambia vumilia akimakiza chuo tutaongea but me naona hii inaweza kuwa tabia yake ya damuni.
Nimechukua mda mrefu kuwa nae ndio,but kufunguka hapa jf imetokea tu kwani imezdu sasa
 
Jaribu kuangalia na familia yao wakoje - baba, mama na ndugu zake wa karibu. kwa kifupi hakufai huyo, mfupa mwachie fisi!!

Dada zake wote pia hajaolewa,japo nikiwa nsongea nao hawajawahi kusapoti ujinga anaofanya!!
 
Oa wewe acha mbwembwe hapa, wenzako wenye akili wanajimegea huko aliko na ww unaishia kuambulia mitusi tu kwa sababu huna akili. Bichwa lako Ngurubhe

Daaaa,mwananguuu!!!! Inauumaaaaaaa ujue aaaashiii!!!...
 
Last edited by a moderator:
Kama umekuwa nae kwa miaka7 na bado unamuita demu wako basi unastahili kutukanwa sana hata zaidi ya hapo, nipe number yake nimuongeze reserve ya mitusi mingine. Huna adabu Ngurubhe

Una akili sana kumbe!!!! Miaka saba bdo ni dem wako?? Walai ngekukata makofi!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom