Uko correct kabisa mkuu,, jamaa yangu ni mdau pale UDSM hii 1.6 to 2.3 ni kwa assistant lecturer, lecturer wanakula kuanzia 2,352,000 to the max of 2.7 million kwenye rank hiyo
Habarini za asubuhi, naombeni kuwauliza kwa anayefahamu mshahara wa kuanzia kwa position ya Assistant Lecturer kuanzia ni sh ngapi? for both public and private Universities