Jamani msaada wa ushauri,nimelala na mme wa dada yangu

Jamani msaada wa ushauri,nimelala na mme wa dada yangu

Ni jana hiyo dada kasafiri mme wake kaja kanishawishi sana , bahati mbaya nikapewa kilevi tukafanya, mbaya zaidi rafiki yake dada katuona lodge ,

Nifanyeje jamani yan dada ana mpango wa kunisaidia mtaji mimi,

Naomba akili ya kumjibu naomba ushauri wenu jinsi ya kumdanganya
Kwahiyo umejipanga kumdanganya kwasababu unajua rafiki yake lazma atamwambia au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jana hiyo dada kasafiri mme wake kaja kanishawishi sana , bahati mbaya nikapewa kilevi tukafanya, mbaya zaidi rafiki yake dada katuona lodge ,

Nifanyeje jamani yan dada ana mpango wa kunisaidia mtaji mimi,

Naomba akili ya kumjibu naomba ushauri wenu jinsi ya kumdanganya
Unatangaza Biashara yako Je Tigo unatoa?
 
Denmark hukwenda?

Maana nimeona kwenye posts zako kuna kipindi ulipata mchumba wa Denmark.

Ni kama kichwa kilivojielezeeni

Nimepata mchumba anaishi Denmark , nauliza je maisha ya kule yakoje?? Maana tukifungs ndoa naondoka,

Lakin mtihani mkubwa nilionao ni kwamba inabidi niufiche ukweli huu huyu bwana nayeishi naye asijue, nimenunua ka simu kadogo kakuwasiliania na mtanzadanish
 
Back
Top Bottom