Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,270
- 1,111
Habari za leo wanajamii?? kuna laptop aina ya Samsung notebook (haina DVD Rom) imekumbwa na virus nadhani maana ukifungua folder au file inakuwa ina-blink blink na pia yanafunguka mafaili mengi kama vile mtu umetoa multiple commands kwa single file. sasa nashindwa kuifanyia scanning maana hata kama nitanunua cd ya anti-virus, how do I install? na pia sijajua standard procedure ya namna ya kuwasha ili kama wakati wa kufanya matengenezo nifanyaje ili virus wasijeharibu anti-virus. wapi Chef Mkwawa, young master na C6?michango yenu inahusika sana jamani maana kuna kazi zangu kibao zimekwama huko hata nashindwa kuendelea.