Nimeingia katika mfumo wa usajili wa nacte ujulikanao kama CAS,nikafanya uchaguzi wa kozi mbali mbali,mpaka kufika tarehe ya mwisho 5 august,tatizo langu ni kwamba baada ya kuongeza muda wa maombi kuanzia 8-13 august profile yangu haikubali kuedit na kufuta machaguo yaliyo tangulia ili niweke mingine,je nimekosewa wapi?au matatizo yakwao wenyewe ya kiufundi?