Na Stampu yenye picha ya malkia wa uingereza[emoji3]
Wale waliopitia pale TUMANI SEKONDARI KINAMPANDA SINGIDA nadhani mnanikumbuka mzee wa makitu hii.
Nakumbuka hii teknologia ilidumu mpaka mid 90. Sababu mzee wangu alikuwa akiniandikia barua akiwa london Reading University. Nilikuwa nachukulia barua pale haspitali ya kcmc. Private bag. S.L.P kila jumapili nikienda ibadani lazima nipitie pale kuangalia kama kuna barua toka mbele.
Kitambo sana.