Elections 2010 Jamani mnajua J.K. yuko Mwanza?

Kuna taarifa zinaendelea kuzagaa kuwa Mh JK amekwenda Mwanza leo hii, je hizi habari ni za kweli? Kama ni kweli, je amekwenda kufanya nini???

kama unavyosema zimesambaa, nadhani ni uchakachuajitu! kibaya ni kua wananchi pale mwanza washawaweka watu wao na hawatakia kusikia lolote toka kwa yeyote.Aaangalie asijesababisha dam kumwagika.
 
Nimepata taarifa CUF wanapeta kwa 52.2% na habari za uhakika Mwinyi na Mkapa wapo Zenji kwa Kazi maalum.:juggle:
 
Sasa hawa thithiemu si watupishe tu tuingie ikulu fasta
 
Duh! Madaraka Nomaaaaaa. Akimalilza muda wake 2015 lazima tumtie ndani na wafuasi wake... Haiwezekani wajigawe kivile. Haoo Zenji, huyu Mmeru Arusha na Mkwere nae Mwz.... Jamani vipi Mbeya hawajatinga?
 
kama CCM inataka amani Tanzania wasije wakachakachua hata kura moja kwa maana watu wa Mwanza wamekuwa makini sana na sasa hivi wamejaa jiji wakisubiria matangazo. Wanajua vizuri jumla ya kura za Slaa Mwanza, sasa wasije wakthubutu kabsaaaaaaaaaa kama bado wanaihitaji amani!!
 
Back
Top Bottom