babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,497
- 21,224
enzi zake nakumbuka alikua anatembea na mwanamazingaombwe mmoja anaitwa profesa eyeso,hachelewi kubadili karatasi kuwa pesa.dah umenikumbusha mbali mzee,Power Mabula nakumbuka alitokea Kyela kama sikosei,maana utotoni nlishawahi kumuona akifanya mavitu vyake vya kukaza kamba kwa meno gari haliondoki!
Rafiki yangu amebahatika kumpata mwenza wake wa maisha na ni mwaka wa tatu sasa tangu wapo kwenye ndoa.Tangu waoane na mwanamke huyu,furaha ya rafiki yangu imekuwa kubwa lakini yenye kuchanganyika na wasiwasi mkubwa.
Ni kawaida kusikia wanaume tunasema lazima mwanamke awe soft na mwenye mikono laini.Lakini kwa mwanamke huyu hali ni tofauti.Rafiki yangu akileta magunia ya mkaa mwanamke anabeba bila hata msaada wa mtu yeyote.Kuna nyumba wanajenga,nje kidogo ya jiji,wakati wa kwenda kununua mbao,matofali na simenti mwanamke alibeba mwenyewe.Mbaya zaidi mwanamke huyu akiamka saa kumi na moja kamili yeye ni tizi kwenda mbele.Ameaandaa kijimu cha kishikaji upenuni mwa nyumba na anapiga tizi mpaka rafiki yangu huyu anaogopa.
Katika mambo fulani jamaa anasema mkewe hachoki,ule usoft wa mikono na mwili mzima ndo basi tena haupo.Lakini cha kufurahisha zaidi mtaani hapo hakuna anayethubutu kuleta fujo,maana anagawa dose kama hana akili nzuri.Rafiki yangu ametokea kuwa na adabu ya kupitiliza.Amani imekuwa haba kwa rafiki yangu.

Katika mambo fulani jamaa anasema mkewe hachoki,ule usoft wa mikono na mwili mzima ndo basi tena haupo.Lakini cha kufurahisha zaidi mtaani hapo hakuna anayethubutu kuleta fujo,maana anagawa dose kama hana akili nzuri.Rafiki yangu ametokea kuwa na adabu ya kupitiliza.Amani imekuwa haba kwa rafiki yangu.[/QUOTE]
Ahahahahha yaani mbavu sina.....hizo dosi mmmmmmnh!!
haha Akili umenianza tena uchokozi... sinilikuwachasalaam muafaka kwa noname................... noname please njoo ukoment hapa......... manake nikuambia mwanamke kazi unasema siyo mapenzi............... haya huyu mwenzanu kaatoa kimasomaso .................. anafaa sana............ ngoja nikamfundishe na wangu mazoezi.................
mwambie aache ushamba! na akijizubaisha watampata wanaoweza kuitumia hiyo fursa.................
Jamani ndio maana wanaitwa wenza! kwa nini hatuelewi hili?
Nitatoa mfano; ni mtu nayevutiwa na mazoezi lkn kuna wakati nilijiachia sana na mwenzangu kumbe hakuwa anafurahia hiyo hali alianzisha mkakati wa mazoezi ya kukata tumbo nami nikamfuata! tunafanya mazoezi lkn ukweli yeye ndo anafanya zaidi yangu na hata misuli yeye inamtoka vizuri tumboni kunizidi hii ni challenge nzuri!
Taratibu bwana huyu sio mwanamke.Duh!
Duh!
huyo ndiye mke katika maisha yetu ya kila siku majambazi yanapenda kuvamia nyumba haswa kukiwa na wanawake watupu Mwamabie rafiki yako mke huyo asimwache ila huyo rafiki yako akiwa anapenda kwenda kwenye nyumba ndogo kazi kwake ni kipigo Heavy kitamkuta Rafiki yako nampa hongera Rafiki yako kwa kupata mke shupavu hoyeeeeRafiki yangu amebahatika kumpata mwenza wake wa maisha na ni mwaka wa tatu sasa tangu wapo kwenye ndoa.Tangu waoane na mwanamke huyu,furaha ya rafiki yangu imekuwa kubwa lakini yenye kuchanganyika na wasiwasi mkubwa.
Ni kawaida kusikia wanaume tunasema lazima mwanamke awe soft na mwenye mikono laini.Lakini kwa mwanamke huyu hali ni tofauti.Rafiki yangu akileta magunia ya mkaa mwanamke anabeba bila hata msaada wa mtu yeyote.Kuna nyumba wanajenga,nje kidogo ya jiji,wakati wa kwenda kununua mbao,matofali na simenti mwanamke alibeba mwenyewe.Mbaya zaidi mwanamke huyu akiamka saa kumi na moja kamili yeye ni tizi kwenda mbele.Ameaandaa kijimu cha kishikaji upenuni mwa nyumba na anapiga tizi mpaka rafiki yangu huyu anaogopa.
Katika mambo fulani jamaa anasema mkewe hachoki,ule usoft wa mikono na mwili mzima ndo basi tena haupo.Lakini cha kufurahisha zaidi mtaani hapo hakuna anayethubutu kuleta fujo,maana anagawa dose kama hana akili nzuri.Rafiki yangu ametokea kuwa na adabu ya kupitiliza.Amani imekuwa haba kwa rafiki yangu.
Huyo mke lazima atakuwa ASHA NGEDERE pia, jamaa asubiri tu ataona.
Mbu bwana...mpaka hapo inatosha kwamba ndiye mke aliyemchagua yeye. Kampenda mwenyewe, usimchanganye rafikiyo na 'power-Mabula' wake bana.