Jamani Mke hanitoshelezi nifanyeje?

Jamani Mke hanitoshelezi nifanyeje?

Yaani hakutoshelezi kitu gani? Hushibi? Halafu mijitu mingine mnaanzisha thread halafu mnasepa!!! Mnataka nani akujibie maswali uliyouliza? Usipoteze muda wa wachangiaji. Mods pelekeni kwenye dust bin hii!!
 
Jamani mbona mkali hivo..labda umeme umekatika kwao au credit imeisha cafe...vuta subra..
 
Kwahyo unataka kufikishwa kileleni? Kama ndio tafuta mtu akufikishe maana wanawake hawawezi kuwafikisha wanaume...
 
Jamani mbona mkali hivo..labda umeme umekatika kwao au credit imeisha cafe...vuta subra..

Da jamani kwa kweli wewe ni mlima Zion wa ukweli. Haya ngoja nimezee!! Kumbe tena nimesahau wengine watumia modem ati!!! Haya tena na aje atufafanulie asichoshiba!!! Madaktari wako hapa!!!
 
Kwahyo unataka kufikishwa kileleni? Kama ndio tafuta mtu akufikishe maana wanawake hawawezi kuwafikisha wanaume...
akamtafute Boflo atafikishwa mpaka mawinguni sio kileleni tuu. lol
 
Last edited by a moderator:
Tupo wengi wake zetu hawatutoshelzi kitandani!Watu hawataki kukusaidia tu, pole best mie sina majibu kwani ni kama wewe!wife goli moja tu hataki tena wiki mbili!
 
jamii nisadieni....

kiaje??
Wapo baadhi ya wanaume wenzetu wanapewa huduma ya kunyonywa na tigo na wake zao wenye ujasiri huo,kama ilivowahi pata elezwa na mdau mmoja humu jamvini
vipi naww ungeipenda huduma ile??
May be ungekua satsified mkuu..
Hebu funguka japo kidogo..
 
Back
Top Bottom