Jamani mimi sijui kutongoza nisaidieni

Jamani mimi sijui kutongoza nisaidieni

HMJ

Senior Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
157
Reaction score
21
ukweli ni kwamba nina miaka 25 lakini cjawah kupata mwanamke zaidi ya kujisingizia tu kwamba yule ni demu wangu lakin c kweli watu mtaani waniona mjanja na wanawake wananiheshimu sana kwa kujua kuwa nimetulia but kiukweli cna ujacli wa kuzungumza nao yaan nawaogopa.so naombeni msada nifanyeje?
 
unawaogopa wanang'ata basi itakuwa wewe siyo mwanaume.kamili
 
ukweli ni kwamba nina miaka 25 lakini cjawah kupata mwanamke zaidi ya kujisingizia tu kwamba yule ni demu wangu lakin c kweli watu mtaani waniona mjanja na wanawake wananiheshimu sana kwa kujua kuwa nimetulia but kiukweli cna ujacli wa kuzungumza nao yaan nawaogopa.so naombeni msada nifanyeje?

hahahahaha usiogope dogo, mtoto wa nyoka hafundishwi kuuma. Ukiona hivyo ujuwe bado wakati wako haujafika, ondoa wasi wasi kabisa, piga mambo yako tu yakimaendeleo, wakati ukifika yaani mwenyewe utaweza dogo.
 
Kama unataka kiburudisho cha paradiso tu nenda kwa #wahaya Shida yako itaisha nasikia kuna punguzo LA bei msimu Wa sikukuu.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Kig
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
uwezo ni kazi kupatikana, so endelea kufanya mazoezi then utapata ujasili. acha kuwaogopa! EXPERIENCE is the best teacher
 
unatakiwa ujiamini na ujue pasingeumbwa wao bila sisi.jua wapo kwaajili yako
 
subiri ufike miaka hata 30 ndo utaanza hayo mambo. Utajua automatically bila kufundishwa ukiona hujui ujue wakati wako bado.
 
siku ukipata wewe jamaa na kamchezo kaki kukolea utakuja tena kuomba njia za kupunguza kugegeda... ila wewe bado mdogo subiri ufike utu uzima
 
siku ukipata wewe jamaa na kamchezo kaki kukolea utakuja tena kuomba njia za kupunguza kugegeda...
 
Thnx kwa ushauri wanajamii..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom