Trial balance
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 202
- 160
Jamani kama mnavyojua mambo ya chuo kuna mtu naona tu ananikera ujue Mimi Nina mastress yangu yani huyu ninayelala nae Dom moja mda wote na kila siku kazi yake kuvaa nguo niwe namthaminisha kama amependeza ananikera!
Maswali yake sasa nikivaa shati ili ntapendeza Mara hii suruali vipi Mara hizi nywele vipi yani mimi naamua kumuitikia tu ata kama nikiona ajapendeza nashindwa kumwambia staki ayo mambo yake mimi mbona navaa zangu tu simwulizi Mara aniulize umekula vipi Leo unaenda class yani najikuta kutopenda kuulizwa chochote!
Tupo course tofauti kila MTU anaenda class kwa wakati wake Mara saizi unalala saizi unaondoka Mara ushushi net yani maswali maswali mda wote natamani kumjibu shit mimi! Nilikuwa naumwa wiki ili mafua na kikohozi nikipiga chafya ananiambia pole fikilia upo katikati ya chafya umjibu pole yake nikikohoa pole ilifika mda najibu kwa hasira asante namwambia.
Anauliza dawa umekunywa namwambia spendi dawa anaanza kusema yan wewe upo kama ndugu yangu flan iv hapendi dawa bas ananikwaza utakuta mimi nachati zangu anaanzish anzisha mambo yake nimsapoti yani najikuta spendi disturbance napenda utulivu mda wote na kutoongeleshwa.