Jamani mimi mgeni humu ndani naomba mnikaribishe tuwe pamoja!!!

Karibu sana lugha nyingi ila jifunze kulingana unavyo weza

Karibu sana mrembo
 
Hooodi humu!!! Mimi pia ni MGENI ndo nimeingia Jana ila cjatozwa kiingilio wala kodi.Nawaombeni mwongozo wadau.
 
Karibu zingatia haya;

1. Mazungumzo utakayoyafanya PM (Private Message) na mtu yeyote usiyalete jukwaani utapigwa ban.

2. Kumtukana, kumkashifu au kutoa lugha za maudhi kwa member mwenzako utapelekea kupigwa ban.

3. Kuandika kwa mahadhi ya facebook mfano x kua s, tyu kua tu na kufupisha fupisha maneno siyo kosa ila utawakera wadau wengi.

4. Tuma picha yako pm na namba ya simu.
mkuu naona unatumia fursa mubashara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom