Jamani mimi mapenzi tena basi!

Pole mkuu mengine ni maroho machafu yanayokuandama wala ww huna kasoro yyte vingne ni laana huenda wazaz wako waliwatendea mabinti waliowapenda then wao wakawafanya vibaya sasa ngoma imekuja kurudii kwako ila nenda kwa mchungaji mwambie akuombee then na ww jifunze kumuomba mungu akuondolee mabalaa yanayokuandama kwenye mahusiano yako nadhani mambo yataenda sawa mkuu pole sana sna mungu akutie wepec ktk hili gumu unalopitia
 
Unataka ushauri gani?huna akili zako mwenyewe kuangalia tukio na ushauri unaoomba!jibu unalo hapo ulipo mkuu,au hulitaki?Weka ule wimbo wa' waache waoane'uusikilize.
Aisee sawa nitafanya ivo
 
Sasa kaka kuhusu ujauzito ickupe shida msaidia kumtuza kisha utapima DNA ikiwa sio wako uciumie kwani yote ni majaribu mungu anaendelea kukutafutua akupendae sorry kama ujapenda ushaur wangu
Asante kwa ushauri wako, wengi wamenishauri kupima DNA nadhani itabidi nifanye ivo
 
pole mkuu ila sasa ndugu yangu ujue ukiwa na pesa inabidi uwe makini wengi tunafuata mapesa yako .. pole sana angalia namna unavyohandle mahusiano yako ..
usikute mna attitude tofauti mfano wewe upo serious sana halafu unatongoza demu mcheshi haloo atatafuta wa kaliba yake na humo ndiyo atakucheat.....jitahidi muwe mnafanana mambo... muulize huyo demu kwa nini amekucheat awe honest kwako
 
Ushauri wako umenitia moyo, nashukuru sana
 
Inaniuma sana nimetoka kumtolea mahari wiki mbili zilizopita tena mahari kubwa mno si unawajua wachaga tena?

Achana na habari ya mimba, kama una ushahidi toa taarifa kwa wazazi wake wakurudishie mahari...achana na huyo binti hana maana. Huyo atakuja kukusumbua sana.
Mtoto acha azae hudumia , ukipata mke mwingine atalea...
 
Asante ndugu yangu, itabidi nijifunze kua mcheshi maana huenda ndio kasoro yangu coz mimi hua sijui kuchangamka ni mkimya sana mda mwingi.
 
umejisifia sana lipia tangazo kw max melo
 
Achana na habari ya mimba, kama una ushahidi toa taarifa kwa wazazi wake wakurudishie mahari...achana na huyo binti hana maana. Huyo atakuja kukusumbua sana.
Mtoto acha azae hudumia , ukipata mke mwingine atalea...
Mhmmh kurudishiwa mahari sidhani kama ni busara, ndo nipo natafakari jinsi ya kufikisha taarifa japo binti ameniomba sana nisiseme kwao, amelia sana machozi hayakauki. Najikuta naingiwa na huruma saa nyingine.
 
Hahaaaa umenichekesha eti nikiwa nasubiri nikue kue, shukrani naona swala la DNA lazma lifanyike coz ni wengi wamenishauri ivyo
 
Pole sana broo naona umeongea kwa uchungu sana ila nachotaka nikushauri bado wako hujampata(namaanisha endelea kumwomba MUNGU akupatie mke mwema) siku ukimpata utatulia maana sioni ulipofanya kosa sasa cjui kwa nn anafanya hivyo.
Sasa na rudi kwa lililotokea nashauri ACHANA NA HUYO MWANAMKE NA MCHAKATO WA KUOA ACHANA NAE, maana huwezi jua Mungu kakuonyesha nn huenda kuna mengi ambayo huyajui na ingekuwa mbaya zaidi ungeyajua ndani ya ndoa,we waeleze ndugu 'black & white' maana hamna kitu kibaya mwanamke ushaamua kuoa analeta vitu vya namna hiyo, usije ukajifariji kwamba ukioa atabadilika,huyo ni kunguru bro hafugiki.
Kaa na washkaji unaowaamini watakufariji kwa situation unayopitia inauma ila kuwa na roho ya kiume hamna namna ipo cku hata huli litapita.
Pole sanaaaaaaaa,ya kwangu ni hayo tu.
 
Asante kwa ushauri
 
Shukrani sana kwa busara zako ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…