Jamani mimi kwa Hellen Dausen niko hoi

Jamani mimi kwa Hellen Dausen niko hoi

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,390
Huyu mrembo WA mwaka 2010 Miss Universe Madam Hellen namkubali sana, basi tu kwa kuwa kikazi niko huku mikoani nimesukulishwa. Msalimieni jamani.
hellen.jpg
 
kipindi yupo a level anasoma shaaban robert 2006 alikujaga studio kupigwa picha kwa ajili ya bango la kampuni ya simu.. studio ilikuwa ya brother.. moyo ulimtunuku sana sema ndio hivyo nilikuwa dogoooo sina ujanja..
 
Hahahhahah

QUOTE="Slim5, post: 25034180, member: 196493"]Mkuu jaribu bahati[/QUOTE]
Hah
 
Back
Top Bottom