Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,248
- Thread starter
- #21
Na wewe unaamini kirahisi habari zisizo na kichwa wala kiwiliwili? Hii habari kaisikia kwa mama anayedai mtoto kabakwa. lakini hakuna maelezo yakinifu ya kuelezea kinagaubaga watoto wanabakwa katika mazingira gani? shuleni au mtaani? Huyo mtu kama wamegundua hadi jina lake kwa nini wasimshitaki police wanamshitaki JF? Mtu akijiita michael dada tunategemea ni punga/mchele/mchele na sio rijali wa kubaka. Nahisi ni hisia tu kama zile story za utotoni za popobawa.
Hivi hata IDD AMIN DADA alikuwa kama hivo unavosema?