Jamani Michael dada!

Jamani Michael dada!

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,374
Reaction score
38,248
Wana-JF kumekucha!

Kuna story zinasambaa kwa kasi sana ktk vitongoji vya Kibaha, sana sana kuanzia Kibaha Mpakani, Kibaha Maili Moja, Kibaha Pangani, Kibaha Machinjioni, Kibaha Picha ya ndeg, Shell mpaka Picha ya Ndege, kuwa kuna mtu anajulikana kama Michael Dada, anabaka watoto, wa kike kwa wa kiume, watoto wadogo wa shule za msingi!

"Michael Dada" ameingiza hofu miongoni mwa wazazi na walezi, hasa kutokana na ukweli kuhusu habari za huyu mtu umekuwa mgumu kupatikana coz kuna wanaosema ni kikundi, kuna wanaosema ni mtu halisi tena ni mmoja, kuna wanaosema jini, wengine wanasema mtu wa jinsia -me na anapendelea kuvaa baibui! Kinachoshangaza wengi pia ni uwezo wake wa kubaka hata watoto wa5 kwa siku moja tena katika maeneo tofauti tofauti!

Mwenye details za kutosha kuhusu huyu mtu, hasa hasa wakazi wa KIBAHA NA maeneo niliyoyataja hapo juu, mtupe taarifa kamili kwa anaejua.
 
Swali kwako,Je,umewahi kumwona kwa macho yako na kumhoji mtoto yeyote aliebakwa?? Uzushi huo.
 
toa ufafanuzi wa kutosha na sisi tupate habari kamili, kama kuna mtu amebakwa atasema kuwa alibakwa na mtu au watu, kama ni me au ke, sio umepata habari kipande unawaka kuleta humu jukwaani kwanim wengine tunaamin itakuwa imehakikiwa kwa kina na great mwenzetu . ..... take time to make research first......
 
Huyu bwana amesikia hizo stori juu juu hivyo suala lakuona kwa macho yake halipo,labda kikubwa na sisi tujaribu kuulizia ulizia kwa ndugu na jamaa wa maeneo hayo,kama sikweli itajulikana tu!
 
Wana-JF kumekucha!

Kuna story zinasambaa kwa kasi sana ktk vitongoji vya Kibaha, sana sana kuanzia Kibaha Mpakani, Kibaha Maili Moja, Kibaha Pangani, Kibaha Machinjioni, Kibaha Picha ya ndeg, Shell mpaka Picha ya Ndege, kuwa kuna mtu anajulikana kama Michael Dada, anabaka watoto, wa kike kwa wa kiume, watoto wadogo wa shule za msingi!

"Michael Dada" ameingiza hofu miongoni mwa wazazi na walezi, hasa kutokana na ukweli kuhusu habari za huyu mtu umekuwa mgumu kupatikana coz kuna wanaosema ni kikundi, kuna wanaosema ni mtu halisi tena ni mmoja, kuna wanaosema jini, wengine wanasema mtu wa jinsia -me na anapendelea kuvaa baibui! Kinachoshangaza wengi pia ni uwezo wake wa kubaka hata watoto wa5 kwa siku moja tena katika maeneo tofauti tofauti!

Mwenye details za kutosha kuhusu huyu mtu, hasa hasa wakazi wa KIBAHA NA maeneo niliyoyataja hapo juu, mtupe taarifa kamili kwa anaejua.

hawezi kuwa michael then avae hijabu he must be islamist
 
  • Thanks
Reactions: y-n
toa ufafanuzi wa kutosha na sisi tupate habari kamili, kama kuna mtu amebakwa atasema kuwa alibakwa na mtu au watu, kama ni me au ke, sio umepata habari kipande unawaka kuleta humu jukwaani kwanim wengine tunaamin itakuwa imehakikiwa kwa kina na great mwenzetu . ..... take time to make research first......

Mkuu hata wewe unaruhusiwa kutafuta uhalali na ukamilifu wa tetesi kama hizi, SHIDA INAYOMPATA SHIDA SI SHIDA YA SHIDA PEKE YAKE, NI SHIDA YA JAMII NZIMA!
 
Story za popobawa kivingine!! Atafutwe aliyezifanyia editing na kumweka starring Michael dada
 
Wazazi washirikiane wamwekee doria atakamatwa mara moja;
hayo siyo mambo ya kupuuziwa.
 
Na wewe unaamini kirahisi habari zisizo na kichwa wala kiwiliwili? Hii habari kaisikia kwa mama anayedai mtoto kabakwa. lakini hakuna maelezo yakinifu ya kuelezea kinagaubaga watoto wanabakwa katika mazingira gani? shuleni au mtaani? Huyo mtu kama wamegundua hadi jina lake kwa nini wasimshitaki police wanamshitaki JF? Mtu akijiita michael dada tunategemea ni punga/mchele/mchele na sio rijali wa kubaka. Nahisi ni hisia tu kama zile story za utotoni za popobawa.
 
Mimi nilisikia kuwa kuna jambazi ambaye alitoka gerezani siku za karibuni na anatembea na sime na nondo ili kuwatisha wakina mama!!! Anawabaka!!! Maneo ya Boko Mnemela yalihusika. Inawezekana ni huyo huyo!!! Cha kushangaza ni habari ya muda ila sijaelewa kama vyombo vya usalama vinafanyia kazi jambo hili. Wenye taarifa zaidi warushe hapa.
 
Tukitaka akamatwe mapema mtu yeyote atakayemuona apige sim polisi aseme Chadema wanaandamana!!au waseme ni kada wa chadema dakika tano tu utamkuta mikononi mwa polisi!
 
intelijensia ya polisi bado imelala..wananchi lazma wateseke hapo, cha msingi ni wao kuwa na ushirikiano ili kumkamata huyo Michael Sista
 
Lisemwalo lipo!,vyombo vya usalama vifanyie kazi taarifa hizo...
 
Back
Top Bottom