Jamani mi nalala

Jamani mi nalala

Sukari Yenu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
1,698
Reaction score
1,260
Vile mapenzi yanavyonoga, unaweza kudhani dunia yote yako. Ni habari njema sana kwa wanaofurahia mapenzi.

Mapenzi haya jamani yaacheni tu kama yalivyo. Japo maumivu yapo lakini binaadamu hata hatukomi kupenda tena.

Mapenzi matamu.

Usiku huu mtoto anajiachia namna hii ni burudani sana.

Ukipendwa pendeka.
Screenshot_20191209-230857~2.jpeg
 
Nimehifadhi kwa matumizi ya baadae..(usiku)
 
Unaitwa 'babe' nawe unajibu 'babe'

Kesho utaitwa 'bae' nawe utajibu 'bae'

Keshokutwa 'my' nawe utajibu ' my'...

Alafu unatarajia siku moja nawe uwe Baba.!!!???
Sasa unapaswa kujibu vipi?
 
Back
Top Bottom