hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,224
- 79,914
Bila,shaka
Shule zimefungwa?
Shule zimefungwa?
Hio conversation utafuta vitu vyooote lakini hiyo huwezi..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HahahaHio conversation utafuta vitu vyooote lakini hiyo huwezi..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Akizingua ulete mrejesho pia
Unaitwa 'babe' nawe unajibu 'babe'
Kesho utaitwa 'bae' nawe utajibu 'bae'
Keshokutwa 'my' nawe utajibu ' my'...
Alafu unatarajia siku moja nawe uwe Baba.!!!???
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Yan January ifke tu harakaShule zimefungwa?
ha ha jamii forum watu wana akili nyingi sana😂😂😂😂😂😂😂
Wewe jamaa ni Mafia.
umefika xhuo umepata mtoto anakuxhuna boom
[emoji3][emoji3][emoji3] baadhi ya wachangiaji mnanishangaza mnaona mleta uzi ana mambo ya kitoto wakati ni vitu vya kawaida kwa wapendanao, mtasema nyinyi hamfanyi!
hahaahahaaa nanata na beatUmeandika nini dada?
[emoji115][emoji115]Ndio nini hii umeandikaumefika xhuo umepata mtoto anakuxhuna boom
mwenyewe kaelewa si ndiyo miandiko yao[emoji115][emoji115]Ndio nini hii umeandika
Tayari vimerudi likizoShule zimefungwa?