Jamani mbona vitu vimepanda ghafla

Yaan na kwenye bajeti haijaeleza kama kuna kupanda kwa hivyo vitu....wenye maduka wamepandisha hadi sigara.....
Cjui tatizo liko wapi....
 
Ndo uchumi wa viwanda unaimarika mkuu.
 
Trotting inflation.....
Tz tupo kwenye hiyo inflation (Mfumuko wa bei)

Maana...kuna 1. bottleneck inflation..(increase in price of goods and services at the rate of 1% to 2% per annual)
2.Trotting inflation...(increase in price of goods and services at the rate of 2% to 3% per annual)
3.Rapid inflation.....(increase in price of goods and services at the rate of 4%to 5% p.a)
4. Hyper inflation..(Daily increase in price of goods and services)

Inflation inatokea sana kama demand ni kubwa kuliko supply ya bidhaa na huduma, au importation of goods and services ime exceed exportation .... Wajuzi wa mambo watakuja kunielewesha vizuri kama nimekosea
 
Wewe utakuwa mpiga dili.. Ukiwa unapiga kazi kwa bidii mambo yatakuwa murua tu..kwasasa mnajengewa msingi ili mje muishi vizuri..majizi na wauza unga ndio wanaolalamika awamu hii..
 
Wewe utakuwa mpiga dili.. Ukiwa unapiga kazi kwa bidii mambo yatakuwa murua tu..kwasasa mnajengewa msingi ili mje muishi vizuri..majizi na wauza unga ndio wanaolalamika awamu hii..
Wala sikushangai maana hata wafanyakazi wanao lalamika mishahara kutopanda ni wapiga dili.

Incase hujaamibiwa na rafiki zako, nikujulishe tu kwamba UNAAKILI NA UWEZO MDOGO MNO WA KUFIKIRI!!
 
Wala sikushangai maana hata wafanyakazi wanao lalamika mishahara kutopanda ni wapiga dili.

Incase hujaamibiwa na rafiki zako, nikujulishe tu kwamba UNAAKILI NA UWEZO MDOGO MNO WA KUFIKIRI!!

Jamaa yangu wewe ni mpiga dili ulizoea dili, mshahara unatosha sana haina haja kuongeza na wengine tunawapunguzia..

Wewe huoni midege inatua Chato pale, SGR, stiggler, shule bureee, ATCL imetua SA, uchumi unakua kwa 7% na umasikini umepungua, awamu ya tano inapiga kazi balaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mfuko wa 50kgs chakula cha kuku umepanda toka 40,000/- hadi 45,000/-.Halafu kuku wangu wa kienyeji nimewazoesha kuwapa chakula hawajui kudanga !
 
zamani walikuwa hawalipi ushuru wanahonga tu sasa hivi wanalipa kihalali
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…