kitokololoo
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 704
- 821
Mkate umepanda kutoka 1100 Hadi 1200
Huo wa 2000 utakuwa ni ule mkubwa.Huku mkate 2000 ila ipo hivi UKIJIFANYA UNAMUWEKEA MLOLONGO MWINGI WA MAKODI(TAX) PRODUCER NA RAW MATERIAL JUA KABISA HAYO MAKODI YATASHUSHWA KWA WHOLE SALE NA WHOLE SALER ATAYASHUSHA KWA RETAILER THEN RETAILER ATAYASHUSHA KWA LAST CONSUMER AMBAO NDO SISI. HUO MTIRIRIKO UNAKUJA KWA LAST CONSUMER KWA KUONGEZA BEI BIDHAA.
Huo wa 2000 utakuwa ni ule mkubwa.
Mama mama acha tuMkate umepanda kutoka 1100 Hadi 1200
Na watapandwa sana hao kuku mana lazima wadange wapate chakula cha kutoshaMfuko wa 50kgs chakula cha kuku umepanda toka 40,000/- hadi 45,000/-.Halafu kuku wangu wa kienyeji nimewazoesha kuwapa chakula hawajui kudanga !
Mfuko wa 50kgs chakula cha kuku umepanda toka 40,000/- hadi 45,000/-.Halafu kuku wangu wa kienyeji nimewazoesha kuwapa chakula hawajui kudanga !