Jamani mbona tunachukuliana?

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,076
2,445
Yaani mimi kukutambulisha kwa "shemejiyo" ndiyo imekuwa nongwa? Simu, SMS, Please call Me, Please Recharge me, kila wakati? Kha!

Siyo vizuri bana, acha hizo!
 
Kwanini usimtext huyo mhusika?Maana hapa sidhani kama umeeleweka!
 
Go and face her, mweleze kuwa tabia yake ni mbaya na hutaki aendelee kuwasiliana na mumeo. Pia mumeo mweke chini, mwambie atulie, kuna kuna chochote anachokosa kwako akueleze ujue
 
face him bwana sasa hapa tuchangie nini? kwanza kwa nini ulimtambulisha huyo mtu kwa huyo GF wako, mi naona huyo nae ni kicheche tu, alimpaje simu yake?
 
face him bwana sasa hapa tuchangie nini? kwanza kwa nini ulimtambulisha huyo mtu kwa huyo GF wako, mi naona huyo nae ni kicheche tu, alimpaje simu yake?
Shantel umenichekesha kweli...inaonekana uko concerned sana na ishu ya gender maana watu wamekimbilia 1 kwa 1 wakarule out kwamba ni she ila wewe unaonekana kufikiri kwamba ni mwanaume katambulishwa kwa mwanamke!
 
Yaani mimi kukutambulisha kwa "shemejiyo" ndiyo imekuwa nongwa? Simu, SMS, Please call Me, Please Recharge me, kila wakati? Kha!

Siyo vizuri bana, acha hizo!

Undugu ni kusaidiana acha na mwenzio asaidiwe na "shemeji" yake!!!!
 
Sasa nyie mnataka asifaudu matunda ya ushemeji?? Wacheni maroho za korosho nyie Watz!!
 
Baba Enock, umefufuka au umezaliwa,
Kyabushaija hajambo?
Na yeye ame RIP kwa muda au?
By the way ni nani huyo anakuchukulia bwana mzee, umeshamwambia Asprini asmshughulikie.
Hebu nenda bwana, mababu wote wa kizazi hiki wana karama za kutibu matatizo sugu na hili likiwepo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom