Jamani mbona sipati mke wa kuoa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani mbona sipati mke wa kuoa?

Discussion in 'Love Connect' started by ray21, Jul 24, 2012.

 1. r

  ray21 Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MIMI NIKIJANA WA KITANZANIA, NAJITOKEZA KUTAFUTA MWANAMKE AMBAYE ATAKUWA MKE WANG WA BAADAE


  SIFA ZANGU

  1. ELIMU : CHUO KIKUU

  2. KAZI : NIMEAJIRIWA SERIKALINI

  3. UMRI : 29YR

  4. UMBO : MWILI WA WASTANI

  5. DINI : MUISLAM

  SIFA YA MWANAMKE

  1. ELIMU : KUANZIA FORM FOUR

  2. UMRI 20-26

  3. UMBO: AWE NA UMBO LA KUVUTIA MNENE WA WASTSNI

  4. SURA: AWE NA SURA YA KUVUTIA

  5. DINI : SIBAGUI


  KWA ALIYE TAYARI PLC TUWASILIANE MY PHONE NUMBER IS 0759 701998 AND MY EMAIL IS jumberahim@yahoo.com
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hata mie natafuta mume ila sijafikia sifa zako! Sina bahati lol
   
 3. r

  ray21 Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sifagani ambazo huna
   
 4. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Una bikra?
   
 5. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  unatafuta automatic cha kitu wife material badala ya kutafuta manualy. . . jaribu bahati yako.
   
 6. s

  sally21 Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman wadada jitokezeni bahat ndo hiziiiiiii. mke anapatikana popote
   
 7. S

  Slowlearner New Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaribu kumuomba mungu atakusaidia kupata mke mzuri umpendaye
   
 8. mwajei

  mwajei Senior Member

  #8
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 130
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  da hata mm natafuta mume ila hapo nimefeli, umri halafu ni used tayari
   
Loading...