Jamani mbona nafanyiwa hivi

Kwan huwez kujua nin cha kufanya na kip usifanye mpaka uulize huku? Thats why unaamrishwa coz huez kuamua mwenyewe haya fanya kama anavotaka mwenzi wako
 
Huyu anapima kina cha maji, akiona hawezi zama basi ataamua kuchukua mzigo jumla. Yaani kuwa makini mtu wangu, hapo anatafuta udhaifu wako na kuangalia umesimamia miguu mingapi. Akiona utamzidi nguvu basi anaachia ngazi. Umenipata?

hapo nimekusoma bwana mkubwa
 

I doubt, huyo mwanamke aweza kuwa mkurya! lol
 
hapo ni dem tu akiwa mke je?
kama nakuona kidume unakata kiuno kudeki, huyo dem wako hana adabu....
 
mmmhh kwaio anaiga wenzie wanavyofanyiwa
 

Mkuu ukikaribisha utawala bora nyumbani jua umeuza uhuru na mamlaka yako kama kiongozi wa familia. Kabla ya uchumba ameanza hayo jua wazi ukimuoa utakutana na makubwa zaidi.
 
Kama roho yako imekwisha kataa kufanya hizo kazi na ukatae jumla, asipoelewa si riziki huyo!
Chonde usifanye kitu kwa kutazamia "utabadili" utaratibu aliokuwekea mbeleni (kila mmoja anatakiwa kusema "No' kwa vitu anavyoamini ni "No" kuanzia mwanzo wa mahusiano, otherwise mtakuja kushikana mashati mbeleni)
 

Kama wewe unafanya yote hayo yeye anafanya nini ndani ya nyumba??? kusaidiana sio kubaya but kwa jinsi inavyoonekana nyie hamsaidiani but kuna mmoja ni master na mwingine ni mtumwa... sidhani kama ni mtu sahihi kwako
 

Yaani mkuu we ni ME lakini unapewa vi amri na KE? Uanaume wako uko wapi sasa? Ujue hatari sana inaelekea hata huyo dem wako kakudharau sana au ni MARIOO?


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Wewe kijana nikuulize.....
Huyo mpz wako asingekuwepo hufui hupigi pasi nyumba husafidhi hupiki huogi huchoti maji
 
Wewe kijana nikuulize.....
Huyo mpz wako asingekuwepo hufui hupigi pasi nyumba husafidhi hupiki huogi huchoti maji

nikiwa gheto nafanya lakini kwenye maandalizi ya kuachana na ubachelor haina maana yoyote hapo kuna dalili za kulimbwatika
 
Fanya kitu kwa mapenz yako na si kwa kuamrishwa na ukiona unaamrishwa hivo mwanzon,naamn kwenye ndoa itakua balaa sana na aib kubwa sana so take care mapema mana usije anza aibika na kuitwa Bushoke mana yeye ataenda kuhadithia wenzake kua nimemuacha anafua na kupiga deki na hata wazaz wako wakisikia,wengine wanaweza kuzimia na kujua kua hawajazaa kidume rijali so watch out brother
 

thanks bro
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…