Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
hello jf
nina mpenzi wangu ninaye mfahamu mimi tu bado sijampeleka kwa wazazi ila anaonekana ana via amri amri vya ajabu ananitaka nimpikie chakula nisafishe vyombo ni pige deki kisa tu majirani wanaotuzunguka waume wa hao watu wanafanya hayo so kwa upande wangu naona ni jambo la ajabu maana kufanya hivyo anaweza kujizoesha kuni amrisha
sas je nipo sahihi au sipo sahihi? Kwa nini ?
mr creative?anapikishwa,anapigishwa deki,anafulishwa nguo?tobaaaaa
kodi ikisha hapo mnapokaa,hamieni pengine alaf umsikie anasemaje
ila na ww mkuu umeka kizembe sana onyesha msimamo wako wa kiume otherwise ipo day utamfulia mpaka chup!
kupelekeshwa siko tayari labda niamue mwenyewe ukikubali akupelekeshe mzee atakuaibisha siku Moja mbele ya wazaz wako na pia atakuzarau balaaahello jf nina mpenzi wangu ninaye mfahamu mimi tu bado sijampeleka kwa wazazi ila anaonekana ana via amri amri vya ajabu ananitaka nimpikie chakula nisafishe vyombo ni pige deki kisa tu majirani wanaotuzunguka waume wa hao watu wanafanya hayo so kwa upande wangu naona ni jambo la ajabu maana kufanya hivyo anaweza kujizoesha kuni amrisha sas je nipo sahihi au sipo sahihi? Kwa nini ?
kodi ikisha hapo mnapokaa,hamieni pengine alaf umsikie anasemaje
ila na ww mkuu umeka kizembe sana onyesha msimamo wako wa kiume otherwise ipo day utamfulia mpaka chup!
nina msimamo sana si dhani kama atafanikiwa
ushaolewa, subiri kubeba mimba.