Heshima daima,
Mimi bwana ninapotakiwa kuongea mbele za wa2 roho (sijui moyo) ina (una)nidunda. Naogopa. Natetemeka wakati mwingine.
Bali mazungumzo yanapochanganyia uoga wote unapotea.
Sasa mimi hii inanikera sana.
Naomba suluhisho la hili tatizo langu tafadhalini.
Heshima mbele!

with red one is very helpful,mara nyingine inashauriwa kufanya rehearsal ya kile unachoenda kupresent at least mbele ya watu wachache even ur friends it can work out.Gud cheerPole sana broda.
Hali kama yako ilipata kunisumbua sana!
Ilifikia wakati niliona bora dunia ipasuke kuliko kuongea mbele za watu!
Hakuna siri au dawa hapa zaidi ya kufanya mazoezi ya kuongea na watu wengi mbalimbali!
Mimi nilianza kwa kuwa MC wa shuguli za familia za ubatizo Kipaimara na ubarikio kwa kulazimishwa sana!...Lakn badae taratibu nilizowea na kwa sasa ni expert wa mihadhara!
Pia kuna vitabu vingi tu vinavyofunza kuongea na hadhara kubwa au kadamnasi, na mara nyingi unashauriwa kuanza by taking a deep breath, and avoid pointing your eyes direct with the faces of persons, maana unaweza ukakutanisha macho na mtu ambaye one way another ataathiri mtirririko wako wa points!!
For more you can Google to get the tips!
i hope u know anatania eeh!hii inaweza kuwa suicide mission.Kama wewe ni muumini wa alkoholi, piga mikupuo kadhaa ya grants kabla hujaenda kutoa mihadhara.
Mi huwa inaniokoa sana napokuwa katika hali hiyo........
nenda kasaidie wagombea kupiga kampeni mikoaniHeshima daima,