Sielewi hata kwa nini? Ngoja nitulie kwanza ntakuja na kitu kizuri. Au mnasemaje wakuu?
Hili suala la Mirembe kuruhusiwa simu nililipinga sana,madhara yake yanaonekana sasa.
Duh.......
Mkuu sio lazima kupost unaweza pia kusoma pasipo kuchangia. ..
Bangi za kuuvutia choon mbaya sana
i did this for three months by this ID, si lazima kila mtu aweke thread ama ku-comment..unaweza pia kusoma pasipo kuchangia. ..
Mbona umemfanya mwenzako akimbie jukwaa..? any way ndoa yenu lini.?
Mbona umemfanya mwenzako akimbie jukwaa..? any way ndoa yenu lini.?
Halafu si tayari kesha post...