Olmo
JF-Expert Member
- Jun 21, 2026
- 1,307
- 2,326
Wakuu habari za weekend? Nashukru bado tuko salama japo wapambanaji wengine wanaonewa na watawala walio jipachika kuiba rasilimali za mtanganyika! Mwenzenu alihamis nilipata shida ya kifua kidogo na chanzo ni pigo la goti maana nilikuwa nacheza mpira nilijikuta pedri pale kati nakivuruga vibaya, dogo janja mmoja akashindwa kuvumilia akaiva zote! Akaniumiza kwenye mbavu😥 sasa leo nikawa nashare utani na chart gpt akawa ananisihi nisifanye kazi ngumu kwa sasa, hata mpira nitulie kwanza, sasa shida yetu ikaja kwenye kusakata game za kitandani! Hivi ndivyo alivyonijibu, ila nimemwelewa sana 100%