Jamani mbona JF hakuna kibaya kinachoandikwa?

Haya maelezo yako utaenda kuyatolea mbele ya safari. Kwa sasa ngoja kwanza tukamilishe hili zoezi la uvamizi.
 
Ni maoni ya kawaida.....
Sasa wanavamia JF kwa kosa gani? si wamwambie kuwa usipost hiki na hiki na hiki...au wanaopita JF wanamwambia hii futa .....
Vyovyote vile huwezi funga kisa mtu mmoja , binafsi bado kwangu inakubali , hii fedhea kweli nchi hii
 
Mipicha ya Watu wanapigana hadi finga ndani ya hijabu 😁😁😁😁 mashekh wahini kushusha WAHY wa kuhalalisha
 
Ni maoni ya kawaida.....
Sasa wanavamia JF kwa kosa gani? si wamwambie kuwa usipost hiki na hiki na hiki...au wanaopita JF wanamwambia hii futa .....
Hawataki kusikia mambo ya Polepole yakiandikwa humu... hawa watu TCRA ni vema sasa wamtafute huyo Polepole wamuwekee super glue mdomoni ili asiweze tena kuongea... maana akiongea ni lazima watu tusikie. Wanatupangia ni nini tusome au kukisikia toka kwa watu wemgine.. Polepole Kawatuhumu kwamba wanazima mitandao na internet kunako peleka kuharibia watu biashara zao. Sasa badala ya kumjibu huyo Polepole kwa madai yake, wao wanathibitisha alicho watuhuMu nacho... Halafu bado wana mtu anaitwa Doctor huko kwenye kitengo chao.. Taabu tupu. Mbona Azam nao hawaja- balance mambo? Rostam Aziz kaongea yake na hawakumtafuta Polepole atoe ukweli wa mambo... nchii hii taabu sana....
 
Duniani haki haipo,najaribu kuwaza,baadhi ya wakati hata shetani anajaribu kumrubuni mwanadamu katika haki,ili amlengeshe kwenye 18 zake.Je iweje binadamu hata kulitamka neno haki aogopee?
 
Vyovyote vile huwezi funga kisa mtu mmoja , binafsi bado kwangu inakubali , hii fedhea kweli nchi hii
mambo ya kisenge aisee, ni kama kanisa tuu la ufufuo na uzima, ameongea gwajima linafungiwa kanisa how?..
 
Ni maoni ya kawaida.....
Sasa wanavamia JF kwa kosa gani? si wamwambie kuwa usipost hiki na hiki na hiki...au wanaopita JF wanamwambia hii futa .....
Eti JF inalaumiwa kwa:-
1. Kutokufuta uzi unaosema Rostam anamiliki 70% ya mgodi wa makaa ya mawe wa Ngaka kule Songea.
2. Kutokufuta picha za mama zinazoonesha kakumbatiwa kama Mwajuma ndala ndedu wa Tandale na yule mhuni wa Zimbabwe.
 
Kitombi alipigwa tomaso la kwenda, shenzi taipu kabisa
 
Ni maoni ya kawaida.....
Sasa wanavamia JF kwa kosa gani? si wamwambie kuwa usipost hiki na hiki na hiki...au wanaopita JF wanamwambia hii futa .....
Oysterbay Police si unapajua? Ebu kawaambie waachane na Primary School Mate wangu Melo!
 
Back
Top Bottom