masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,901
- 15,128
Mkuu maji yalikifunika kabisa wakati wa mafuriko.Nafahamu vuzuri hiyo Mashine jua likipiga kama siku tatu kinaweza kutoka chenyewe bila hata msaada wa Mashine nyingine. Inauwezo wa kutumia kijiko chake yenyewe kujinasua kwenye tope ila nakubaliana na wewe 100% hasara hawezi kuikwepa.
sijaelewa,kwani hiyo mashine imekutwaje hapo na mvua?au alikuwa anaiacha hapo hapo?Mkuu maji yalikifunika kabisa wakati wa mafuriko.
Kwa hiyo engine ni kaput!
Mkuu maji yalikifunika kabisa wakati wa mafuriko.
Kwa hiyo engine ni kaput!
Mashine hiyo ilikuwa inapakia mchanga malori katikati ya mto, ikaharibikasijaelewa,kwani hiyo mashine imekutwaje hapo na mvua?au alikuwa anaiacha hapo hapo?
Mkuu hspo kwenye engine si service ndogo.sidhani kama imekufa engine, only anahitajika kuifanyia service ndogo tu na kitu kinaendelea na kazi kama kawa...au mnadhani why engine imekufa?nini kinachouawa na maji kwenye engine?what i know only electrical parts ndo zitakuwa na tatizo bt engine....with little maintenance kitu kinarudia hali yake ya zamani.