Habarini wanduga
kuna lile tangazo la Chacha na Masawe , ambapo Masawe anamuuliza Chacha atapata wapi kaptula kubwa yenye mamifuko makubwa anataka kwenda China kibiashara.
mwenye tangazo hilo naomba alimwage hapa maana kila nikilisikiliza linanifanya nicheke sana......."!
Natanguliza shukrani,