Jamani mapenzi na chama wapi na wapi?

Mwambie bibie tumemsoma....na gwanda tutamtumia!
 
Sijaona kosa lako kukaa nao kalibu, kwani kipindi hiki watu wanachumbia na kutongozana mbele ya wazazi sembuse we,lafiki tu. Achana na washamba wanao tongezeana kwenye majumba mabovu.

Nimekupa tano kamanda, sasa watu wanataka kura ya siri wengine wazi, wale wanaotaka ya wazi kwa nini wasikubali uwazi katika hili pia la kuchumbiana? rafiki au ndugu yako wa karibu awepo ili na yeye afanye tathimini yake.
 
siku nyingine wape uhuru wenzio..waache peke yao
 
Kuwa na mahusiano na gamba wanasema kwa kitaalam "be in a relationship at your own risk" utapata michepuko kibao, wote ni chakula cha wazee wa Lumumba, akili mgando, wezi,matapeli, hawajui maisha...ptuuuuuuuuuuu.!
 
usikariri maisha! kuna maswali mengi ya

kuuliza ! ulidhani atamuuliza anapenda rangi gani!
 
Mimi ni CCM damu lakini babydoll is Chadema, but we cool. Nikienda kwa shemeji zangu Marangu ni debate mtindo mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…