Jamani Mapenzi, Mapenzi ni kitu gani

Jamani Mapenzi, Mapenzi ni kitu gani

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Mpaka ufikia mtu kuitelekeza familia yake, kunywa sumu na kujiua.
Embu oneni mapenzi
uploadfromtaptalk1366189313054.jpg
 
Jamaa anampigia magoti HG ili aende akapike chakula cha mchana.
Si unajua watoto wa mama tena, hata kupika hawajui?
 
imenikumbusha mbali kweli hii picha...nakumbuka wakati huo ndio kwanza naanza kuingia kwenye game la kugegedana...nilimpigia demu magoti ili nione chuchu zake hahaha
 
Huyu jamaa anahofu kunyimwa pa kupumzikia, hana chumba anategemea cha demu!
 
Back
Top Bottom