Jamani mapenzi hujui, pesa huna unang'ang'aniza ndoa loh!

Watoto wa kike kweli mnapotea, including wewe uliyeweka hii mada hapa....

Kwa akili kama yako acha wanaume wakware waendelee kuwachezea tu...

Kwa hiyo kwako wewe mwanaume akishakuwa na pesa basi huyo kashapewa shavu la ndoa...

kugegedana sipendi pesa muhimu loh!!!!!!!!!!! kwa hilo nahisi sijapotea nitajenga uchumi
 

always yuko down na anamawazo sana that why akanieleza hayo yote ........ shoga yangu pesa siyo tatizo, tatizo ni mapenzi jamaa afundishiki acha tu yakitandani.......
 
Kumbe!!! tunahangaishwa tu

Subiri afike 35 ataolewa tu

ana miaka 26.... according to yeye afikishwi compare na wapenzi wake wawili wa nyuma .... anajitahidi kutokufanya comparison inashindikana,............ yani anjikuta anamfundisha jamaaa hadi sehemu gani yakushika lakinii jamaa aelewi mbishi .....
 
dada anatumia kipimo cha lini kujua underperformance ya shosti ako? Cha wakati huu ama vilivyopita? Hii mambo hiii...!!!

akiangalia wapenzi wake wa nyuma 2 anaona jamaa antatizo...
 

Utamponza mwenzio, ikiwa kama wangefunga ndoa kabla ya kujuana halafu akakuta hali hiyo ungemshauri unayotaka kumshauri, halafu acha uongo miaka mitano leo ndo mnaona hawezi, hivi pale mnapoapiana kuwa nitakaa nae kwa raha na shida huwa mnaneno hayo mmeklilishwa tu au maana yake haswa haieleweki? Mshauri huyo rafiki yako aache tamaa, hapo kigezo kikuu nnachoona labda jamaa kayumba kiuchumi ndo maana unamshawishi rafiki ako akate kamba. Halafu hiyo wige material unayosema inatoka wapi kama mtu mwenyewe anataka kukimbia kwa jamaa kupungukiwa pesa?
 
Kitu cha mhimu hapo kwa sasa wasolve tatizo la mapnz. Kuhusu pesa watatafuta wote wakioana.

the bi issue hapa ni mapenzi wala siyo hela.... rafiki yangu anabiashara zake na ni mwajiriwa... pesa siyo shda ,... tufanyaje sasa embu ushauri plz
 
Kama 5years amemvumilia, basi wanapendana kweli. Ama tatizo la jamaa ni kutoitendea haki hiyo papuchi, ama huyo shoga ako ana jamaa yake mwingine ili kupunguza makali ya hiyo miezi 8?
inaonekana uke wake ulishaota sugu,sasa hata hasikii chochote jamaa anapo mnanihii...matatizo ya kuanza ngono utotoni.
 

wewe na huyo rafiki yako mmekaa kiwizi wizi tu
 

mapenzi yao ni ya long distance mwanamke yupo dar mwanaume yupo shinyanga.... ndo maana yamekaa mda wote huo
 
Haaha,ushauri ni kumuacha tu uyo jamaa,sijui mengi sana,bt najua adha ya mwanaume asieyeelewa mwanamke anataka nin kitandani,ni kerooo,esp wale wanaopenda kuvamia K bila maandalizi yoyote
 
kugegedana sipendi pesa muhimu loh!!!!!!!!!!! kwa hilo nahisi sijapotea nitajenga uchumi
so angekua na pesa huyo mtu,ungemshauri rafikio kuwa,''wewe oana nae si ana nyumba,kaa nae mwaka mmoja then mchanganyie poison kwenye msosi,kwisha habari yake''.

Wewe utakua mmachame.
 
watu8 haya ndio matatizo yanayogharimu mapenzi ya wengi, wanasahau kila mto una kina chake hvyo mbinu za kuvuka ni tofauti. Ona analinganisha na wawili waliompitia. Anategemea nin kama sio kuachika kila atakapofika? Na hivi kiwango kikizidi atakimbia?
 
Last edited by a moderator:
^^
Pesa! Pesa!
Kwa nini ulimuua TRUE LOVE ?
Mwanamke haridhiki kitandani kisa PESA !!
(najisemea tu ntarudi kushauri)
^^

Lakini jamaa si anaonyesha hataki kufundishika kwenye mautundu? Mana km anaekewa mpaka cd na hakuna badiliko mana yake nini sasa. Bora angekua na kimojawapo kati ya hivo viwili basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…