Jamani @Madame B!

KARIA

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
717
500
Mawazo ya nini Madame B? Nani kakutenda?

Berenice-Marlohe-%E2%80%9COmega%E2%80%9D-Campaign-2013-1-682x1024.jpg
 
Last edited by a moderator:

Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,404
2,000
Hana mawazo yeyote,anafanya meditation kwa kipindi hiki kuangalia mwaka huu tumepiga hatua gani na vitu gani hatujavifikia ili next year tuanze tukiwa wapya kabisa.
 
KARIA

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
717
500
Hana mawazo yeyote,anafanya meditation kwa kipindi hiki kuangalia mwaka huu tumepiga hatua gani na vitu gani hatujavifikia ili next year tuanze tukiwa wapya kabisa.
Labda ila mhh! kweli anafanya meditation huyu?

Berenice-Marlohe-%E2%80%9COmega%E2%80%9D-Campaign-2013-2-150x150.jpg
 
Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
28,911
2,000
Mawazo ya nini Madame B? Nani kakutenda?

Berenice-Marlohe-%E2%80%9COmega%E2%80%9D-Campaign-2013-1-682x1024.jpg

Jamani KARIA ni kweli nina mawazo.
Yani wanaume wa humu CC sijui nimewakosea nini!
Kutwa sikauki midomoni mwao.
Wamenigeuza bigjii mtoto wa mwanamke mwenzao,kutwa niko midomoni.
Wamenigeuza Stika,kutwa kunibandika na kunibandua.
Wamenigeuza msumari kutwa kunishindilia.
Mnituwe enyi wanaume.
Nami nina wangu.
 
Last edited by a moderator:

KARIA

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
717
500
Jamani KARIA ni kweli nina mawazo.
Yani wanaume wa humu CC sijui nimewakosea nini!
Kutwa sikauki midomoni mwao.
Wamenigeuza bigjii mtoto wa mwanamke mwenzao,kutwa niko midomoni.
Wamenigeuza Stika,kutwa kunibandika na kunibandua.
Wamenigeuza msumari kutwa kunishindilia.
Mnituwe enyi wanaume.
Nami nina wangu.

Upendo wako na ucheshi wako ndio chachu ya yote hayo usihofu!
 
mpalu

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,520
2,000
Jamani KARIA ni kweli nina mawazo.
Yani wanaume wa humu CC sijui nimewakosea nini!
Kutwa sikauki midomoni mwao.
Wamenigeuza bigjii mtoto wa mwanamke mwenzao,kutwa niko midomoni.
Wamenigeuza Stika,kutwa kunibandika na kunibandua.
Wamenigeuza msumari kutwa kunishindilia.
Mnituwe enyi wanaume.
Nami nina wangu.
wamekugeuza bustani kutwa kukumwagia?
wamekuugeza chakula hawaishi kukupakua?
wamekuugeuza gari muda wote kukupanda?
wamekugeuza mlango siku nzima kukugonga?
hawajui kwamba wewe ni under 18 shurti upakatwe,
ubebembelezwe kwa madaha na raha zote upewe?
 
cacico

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
8,364
1,250
angalia shoga angu wasikugeuze ngisi, waanze kukula mkia kabla ya jicho, mbavu na nyamanyama!! jamani mumtue shoga angu, lol!
 
KARIA

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
717
500
angalia shoga angu wasikugeuze ngisi, waanze kukula mkia kabla ya jicho, mbavu na nyamanyama!! jamani mumtue shoga angu, lol!
Bibi yangu cacico upooo? Salamu zako nyingi mno kutoka kwa yule bibi mwingine yuleee...!
 
Last edited by a moderator:

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,195
Daaaaah mama hapo sina neeenoo
Jamani KARIA ni kweli nina mawazo.
Yani wanaume wa humu CC sijui nimewakosea nini!
Kutwa sikauki midomoni mwao.
Wamenigeuza bigjii mtoto wa mwanamke mwenzao,kutwa niko midomoni.
Wamenigeuza Stika,kutwa kunibandika na kunibandua.
Wamenigeuza msumari kutwa kunishindilia.
Mnituwe enyi wanaume.
Nami nina wangu.
 
Last edited by a moderator:

Chilli

JF-Expert Member
Jul 17, 2011
1,656

sasa mbona unapingana na mumeo? Anasema huna mawazo we unasema una mawazo. Kajipangeni kwanza..
 
Last edited by a moderator:

Von Mo

JF-Expert Member
May 7, 2012
1,820
2,000
Jamani KARIA ni kweli nina mawazo.
Yani wanaume wa humu CC sijui nimewakosea nini!
Kutwa sikauki midomoni mwao.
Wamenigeuza bigjii mtoto wa mwanamke mwenzao,kutwa niko midomoni.
Wamenigeuza Stika,kutwa kunibandika na kunibandua.
Wamenigeuza msumari kutwa kunishindilia.
Mnituwe enyi wanaume.
Nami nina wangu.

mtoto wa Tanga wewe hukawii, kutunasa!
 
zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,250
Jamani KARIA ni kweli nina mawazo.
Yani wanaume wa humu CC sijui nimewakosea nini!
Kutwa sikauki midomoni mwao.
Wamenigeuza bigjii mtoto wa mwanamke mwenzao,kutwa niko midomoni.
Wamenigeuza Stika,kutwa kunibandika na kunibandua.
Wamenigeuza msumari kutwa kunishindilia.
Mnituwe enyi wanaume.
Nami nina wangu.
wewe si mama wa mipashooooo......my foma
shemeji
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom