Jamani lugha gongana

Jamani lugha gongana

Joined
May 8, 2012
Posts
29
Reaction score
4
Jamaa mmoja alipelekwa Mahakamani na ndugu zake kwa ajili ya "KULA KIAPO". Sasa muda wa "KULA KIAPO" ukawa unakaribia na yule akawa haonekani na ndugu zake wakaanza kumtafuta, na baadae kidogo akatokea. Ndugu zake wakaanza kumuuliza; mbona muda wa "KULA KIAPO" umeshapita, ulikuwa wapi? Akajibu akasema; nilienda kunawa mikono ili nile hicho "KIAPO" nikiwa nimenawa, kwa sababu si kawaida yangu KULA bila kunawa.
 
Haha kiswahili kigumu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom