Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,658

<br / nadhani hy mwanamke unayemzungumzia ni huyu wifi ye2 yani we acha 2 sijawah onaDuh huyu mke angeolewa na mume kama wangu sasa hivi angekuwa milembe, ukiwa mchoyo mwanakme unafunga hata baraka kwa family na kwa mume kwa ujumla, coz jinsi mnavyoweza kutoa na kusaidia wasiojiweza na wazazi kwa ujumla na ndivo Mungu anavyozidi kuwabariki, mie kuna mwanamke namjua ni mchoyo hadi wageni wakiingia wakati anatenga chakula mezani ananuna ile mbaya, all in all mdada nyie wengine vipi? labda mngejaribu kusaidia japo kupunguza makali sababu mshajua tena wifi yenu ndio yuko hivo na hakuna mtakaloweza kubadilisha, but msichoke kumkumbusha kaka yenu mlipotokea

<br / alianza kuish na mke huyu kwa siri mke alipopata ujauzijo ikabidi amweleze mama, kama familia 2kampokea wifiye2 kwa furaha na muda wa kujifungua ukafika akajifungua hapo ndo akanza kuonyesha makucha pale alipokua mzaz wa siku 2 akamkuta mamy anakunywa chai na mandaz akamwambia mumewe kanyimwa mandaz na mama (kwe2 mzaz anakula mtori, supu na uji) na pia kama alipenda mandaz kwanini asingesema mpaka amwambie kaka?

hhhhahaha nyumba kubwa so inawezekana na huyo mama mkwe naye hii ndo comes around yake !! Kuwa naye ndo anayapokea malipo yake sasa?

Hii mada bwana!

Mbu yuko bizee anakutungia mashairi, hehehe si unajua Mbu hapa mtaani anaitwa "titanic"?, yeye akipenda hata meli ikizama basi yeye anaelea na mapenzi yake. Balaa wallahi!

bek to red hapo: Mimi wamenifurahisha kweli aisee! unajua wanakuja kwa wingi ili kuonesha msisitizo! Ole wenu muwashauri kinyume na wanavyotegemea hakyababu patakuwa hapatoshi kwenye hii sredi!

<br / hasa huyu kaka ye2 kasahau kabisaa alikotoka tn mama ye2 alikua anampenda klk wengne wote mpaka, aisee amekuwa m2 wa ajabu snKweli kabisa mkuu, watu tunasahau tulikotoka sana aisee

<br / siwez kukulaumu lkn lait mzaz wk angefanyiwa haya naimani ungechukua uamuz mgumu snHiyo red inaashiria tofauti na unavyotaka tuamini.
Waswahili wanasema "Fahari wawili hawakai zizi moja", yaani ,kama mke wa kaka yenu ni mzee yussuf na nyinyi ni hadija kopa basi nadhani keshokutwa utaanzisha sredi nyengine " wifi katia diesel kwenye ugali wa mamkwe".

Suluhisho ni upande mmoja ukubali kujishusha na kuona thamani ya upande mwengine na sio kuona makasoro tu kama hapo juu ulivyoandika, Pia muache kumuingilia ingilia sana bro wenu kwenye maisha yake ya kifamilia, nasema hivi kwasababu inaonekana chimbuko la matatizo ni kwamba nyinyi hamumtaki na hamumpendi huyo mke wa kaka yenu.

WARNING: mkiendelea kumkera kera sana bro wenu kwenye ndoa yake nitaripoti hii hali kwa Mods.

Nimemaliza na niko serious kweli kwenye hii post.

angel msofe ndio sasha girl!!!
wife amsemee mbovu mama yangu mie nichekelee?kha!
Lakini mjue... mama siku zote akitaka msaada hatokwenda kwa watoto wake wa kike walio olewa... atakimbilia kwa mwana wake wa kiume aliyeoa... hapa mimi nichoona huyu kijana anakimbia majukumu yake ukiangalia ustaarabu wetu wa kiafrika.. yeye kama mtoto wa kiume ndiye anatakiwa amtunze mama iwe anaumwa... anataka kula... sio dada zake amabo wameolewa na kwenda familia nyengine... hawa wanatakiwa wawe last option!
ningekuwa karibu huyu kijana ningempiga VIBAO!!:yell:
nani kama mama!.....

<br / hapana angel ni wa nne sasha ni wa5 na m2humiwa ni wa 3
tunashukuru pia Angel kwa kuhitimisha huu mjadala. Hapo kwa michango yetu kakio na wifio watajirekebisha I hope hawamo humu nao!! Maana ndo wasijesusa kabisaaakwa niaba ya ndgu yangu sasha natoa shukrani sn kwa wachangiaji wote kwani naimani kwa michango yenu kaka yetu pamoja na wifi wanaweza wakatambua mapungufu yao na wakajirekebisha na kuomba msamaha. MUNGU AWABARIKI SANA WANA JF
Uwii duh hii nayo mzee alizidisha, ila msicheze na laana ya mama huwa inatoka rohoni sana, wababa wengi huwa wanasema kimzaha tuNavopendana na mkwe naomba Mungu asinibadili hata nikija olewa tuwe hivihivi, loooo nisione kitende mwenzangu nachukua, yaani huyu mama mungu amzidishie, akisafiri zawadi naletewa hata ofisini, akitaka kumwambia kitu mwanawe sometimes ananipigia simu, looo nahitaji nini tena,labda gunia la chawa nijikune mpaka kunakucha,Najiandalia mwenzangu makao yangu,huyu dada dawa yake ndogo sana na iko jikoni, Mungu hawezi angalia huyu mama akiteseka na kutukanwa kiasi hiki, imagine wadada tumbo linavyotesa, leo hii nitukanwe kweli, kwa kweli leo nimeelewa kuna baba mmoja alimtolea dudu yake mwanawe wa kiume, akamwonyesha unaona hiki kitundu ndio nilikukojoa hapa, sasa endelea na unayoyafanya....imagine hiyo ni laana ya aina gani