Jamani leo hakuna Mechi Tz

mbona kimya Simba Yanga wapi leo

Mechi zilikuwepo, hatukutaka kuanzisha thread hapa kwani kila siku Yanga anashinda na Simba anatoa sare au hata kufungwa.

Simba wameongeza magobole kibao halafu hayana dira wala uelekeo wa kuisaidia timu.
 
Back
Top Bottom