masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,899
- 15,126
apo ni singapore?
Kabisaaa!ndio kwenyewe
kabisaaa!
nimekanyaga gari hadi 150-160km/hr kwa masaa mengi tu, hadi husikii tena mlio wa gari.
Halafu unaona bahari ya ukame tu, na mti mmoja mmoja,vichaka kwa wingi.
kuna mnara unaogawanya nusu ya Dar na Mwanza hapo jirani, uangalie vizuri
Mkuu sehemu za Singida(Manyoni -Singida), kuna sehemu traffic ni very low, lakini ukiwa na mashine ya uhakika ni mwendo mdundo tu!hatariiiii
Kama unavyoona mkuu ni karibu mid noon, na nimetoka Mwanza saa 11, masaa 4 na nusu karibia,Umetumia masaa mangapi?
Asante mkuu, its also my hobby, sight seing na travelling has its thrills!!....travelling is my my hobie ,umenikumbusha mbali sana mkuuu....
Kama unavyoona mkuu ni karibu mid noon, na nimetoka Mwanza saa 11, masaa 4 na nusu karibia,