Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,351
Utamu Ni ule ule sema ni kubadili ladhaJamani kwanini wanaume hamtulii mnakosa Nini??
Lazima uwe na mweusi ,mweupe , mwarabu ,mhindi, yaaniwafrika hadi keroo .
Mnachoshagaza serious , ni baada ya jirani yetu mkewe kasafiri na bado ameenda kuleta wadada wawili humo ndani Sasa mnakwama wapi??
Yaani unamsikia kabisa anakula nao good time . Jamani hii sio nzuri kabisa .
Tuambieni humu labda mtu anatakiwa kuwa na mchepuko pia ili aweze kuishi na wewe , kabisa.
Maana hii inaumiza unadhani umeacha mume kumbe kiraka
Aliyekuambia utamu Ni ule ule Ni Nani?Utamu Ni ule ule sema ni kubadili ladha
DuuhAliyekuambia utamu Ni ule ule Ni Nani?
Kuna wanawake Wana mashine sio za kawaida na Kuna madimbwi. Kuna wanaojua kuikamulia ndani na Kuna wale kutoka kishumundu a.k.a maliza ufunike halafu wanawaza utawapa sh ngapi.
Aliyekuambia utamu Ni ule ule Ni Nani?
Kuna wanawake Wana mashine sio za kawaida na Kuna madimbwi. Kuna wanaojua kuikamulia ndani na Kuna wale kutoka kishumundu a.k.a maliza ufunike halafu wanawaza utawapa sh ngapi.