Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Nimefuatilia mijadala mingi sehemu mbalimbali kuna hoja kuwa Sheikh Yahaya mnajimu alitabiri kuwa "baada ya Rais Kikwete atakuja Rais mweusi mchekeshaji ambaye atahudumu kwa muda mfupi, hapo Tanzania itapata Rais Mwanamke baada yake upinzani utachukua nchi"
Kwa kuwa Watanzania wengi wanaamini uganga na dini basi watu wengi waliamini uchaguzi wa mwaka huu upinzani utashinda.
Wametokea na manabii nao wanasema Mama hatashinda 2025.
Swali langu ni kuwa let assume, tufanye kuwa utabiri wa Sheikh Yahaya ni wa kweli Je Sheikh alisema kuwa huyo Rais Mwanamke atahudumu kwa kipindi kimoja? Labda atakapomaliza awamu ya pili je?
Kwa wale manabii Je Mungu amewapa muda specific? Maana Ibrahimu aliambiwa atapata mtoto akiwa na miaka 80 akaja kumpata na miaka 100.
Tujiridhishe jamani kuumia ni kwingi.