Jamani kwa anayejua html coding anisaidie swali hili

Lofefm

Senior Member
May 22, 2011
126
72
Kila nikijaribu kuweka table kwenye wapsite yangu nakuta haijai screen nzima hata kama width ikiwa 100%. Je ni code zipi za kutumia hapo?
 
Kila nikijaribu kuweka table kwenye wapsite yangu nakuta haijai screen nzima hata kama width ikiwa 100%. Je ni code zipi za kutumia hapo?

Onyesha wewe code unazotumia na zinakataa ili wataalam wajaribu. La sivyo itabidi utumike utabiri.

So kwa utumia utabiri nadhani hayo ni mambo ya CSS. Angalia CSS inayocontroll hiyo table ya wapsiteyako

jaribu ku gooogle CSS property ya position kwa kuanzi nenda W3schools.com. specifically cheki hii CSS position property

so inaweza kuwa mtiritiko kama huu.
PHP:
table  {position : relative ; left:0px ; right :0px ;  }

kwa hiyo kifupi unachotakiwa ni kuchezza nacho ni CSS positin property ya table. Sasa sijui hiyo wapsite inatumia CSS za aina gani.
 
ukiwa unaandika ziweke code ndani ya ki icon kimeandikwa PHP.

Kwenye hiyo window ya kuandika comment angalia chini ya sehemu unapochagua font na s colur ya ujumbe .

utaona B I U nenda mstari huo huo mwisho mwisho kulia utaona php.. Ziweke hizo code ndani ya hiyo PHP.

hope umeelewa. Au vizuri zaidi unaweza kuziweka ndani ya <> ambayo ndio nyenzo hasa ya kuziweka code za html hapa
 
mnhh umesema wapsite?? Hebu ntajie hosting wako maana hawa wen.ru xtgem na local hosting wengine si code zote zinaonekana fresh
 
Back
Top Bottom