Jamani kwa anaye fahamu chuo chochote cha misuti .

Ruth kadenge

Member
Oct 5, 2012
10
0
nataka kujiunga na chuo cha misitu anayefahamu, kiko mahali gani, na maelezo kuhusu hicho chuo anijuze. kwa sababu sielewi nianzie wapi, asanteni wana jf.
 

Kilembwe

JF-Expert Member
Aug 19, 2009
1,208
1,250
mda gani wanaanza kutuma maombi? na kuhusu fees inakuwaje? na wanaangalia vigezo gani?..
Hiki chuo ni tawi la SUA hivyo nafikiri ni rahisi kujua detail zake kama utakwenda pale kitivo cha misitu SUA tafuta mtu anaitwa Mmari yeye ni afisa tawala pale ataweza kukusaidia!
 
Top Bottom